Electronic kwa bei rahisi sana kutoka Zanzibar

alsam

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
213
268
JIPATIE BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI RAHISI KABISA KUTOKA ZANZIBAR.

1. TV Flat
Inch 32 Aina Star X zenye King'amuzi bei 350,000
Zipo Inch 40,50 na 55

2. Passi Philips bei 32,000/=

3. Rice Coker kilo 1.5 bei 50,000/=

4. Blender Bei Elf 50

5. Jagi la kuchemshia maji Bei Elf 25 Used.

6. Friji na Freezer za kila bei

Kwa wakaazi wa Dar Utaletewa mpaka Ulipo.

Usafiri NOT INCLUSIVE ila unapatikana wa Uhakika

Kwa Msaada na Maelezo Zaidi contact us

0674 616234
 
Zamani zanzibar vitu ilikuwa nafuu sana,tena watu walikuwa hawaendi Dubai,
wanachukulia mzigo zanzibar,
sijui ilikuaje kuaje,
ile hali ingeendelea leo zanzibar ingekuwa kama hongkong.

Mijitu ya bara kwa wivu,ikaweka kauzibe..

Vipi Tv flat inch 21 bei gani kama ipo?
 
Weka picha mkuu
20170507_133049.jpg
20170507_132319.jpg
20170507_132242.jpg
20170507_132233.jpg
20170507_120906.jpg
20170507_120703.jpg
20170501_165429.jpg
 
Zamani zanzibar vitu ilikuwa nafuu sana,tena watu walikuwa hawaendi Dubai,
wanachukulia mzigo zanzibar,
sijui ilikuaje kuaje,
ile hali ingeendelea leo zanzibar ingekuwa kama hongkong.

Mijitu ya bara kwa wivu,ikaweka kauzibe..

Vipi Tv flat inch 21 bei gani kama ipo?
Za mtubma laki 2 na kuendelea..
Mpya hakuna 21 kuna kuanzia 24 na inategemea kabila...
Kama samsung na l.g laki 380.
Star.x laki 300.
 
JIPATIE BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI RAHISI KABISA KUTOKA ZANZIBAR.

1. TV Flat
Inch 32 Aina Star X zenye King'amuzi bei 350,000
Zipo Inch 40,50 na 55

2. Passi Philips bei 32,000/=

3. Rice Coker kilo 1.5 bei 50,000/=

4. Blender Bei Elf 50

5. Jagi la kuchemshia maji Bei Elf 25 Used.

6. Friji na Freezer za kila bei

Kwa wakaazi wa Dar Utaletewa mpaka Ulipo.

Usafiri NOT INCLUSIVE ila unapatikana wa Uhakika

Kwa Msaada na Maelezo Zaidi contact us

0674 616234

Duka lako lipo wapi?
 
Zamani zanzibar vitu ilikuwa nafuu sana,tena watu walikuwa hawaendi Dubai,
wanachukulia mzigo zanzibar,
sijui ilikuaje kuaje,
ile hali ingeendelea leo zanzibar ingekuwa kama hongkong.

Mijitu ya bara kwa wivu,ikaweka kauzibe..

Vipi Tv flat inch 21 bei gani kama ipo?
Imewekaje mkuuuuu??....

Ila kiukwel Zenj vitu vilikuwa bei rahisi sanaaa
 
JIPATIE BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI RAHISI KABISA KUTOKA ZANZIBAR.

1. TV Flat
Inch 32 Aina Star X zenye King'amuzi bei 350,000
Zipo Inch 40,50 na 55

2. Passi Philips bei 32,000/=

3. Rice Coker kilo 1.5 bei 50,000/=

4. Blender Bei Elf 50

5. Jagi la kuchemshia maji Bei Elf 25 Used.

6. Friji na Freezer za kila bei

Kwa wakaazi wa Dar Utaletewa mpaka Ulipo.

Usafiri NOT INCLUSIVE ila unapatikana wa Uhakika

Kwa Msaada na Maelezo Zaidi contact us

0674 616234
Mbona bei kama bara tuu
 
usidanganye watu, bei hizo ndio unasema rahisi, mbona naona ni za kawaida tu
 
Imewekaje mkuuuuu??....

Ila kiukwel Zenj vitu vilikuwa bei rahisi sanaaa
tpa na tra ndio walioua hiki kitu manake unapigiliwa kodi mpaka unasema basi, juzi kuna mtu kauza vitz yake kwa 1.5m kuokoa mzigo wake bandarini, hawa jamaa wanabamiza mbaya ndio maana mtu anaona bora afate dubai au china moja kwa moja
 
Back
Top Bottom