biasharaTz
Senior Member
- Apr 14, 2016
- 163
- 79
Salam wana JF
Naomba kujuzwa soko la biashara ya mashudu ya alizeti kwa hapa Dar Es Salaam. Kama kuna mwenye kufahamu soko au kampuni zipi naweza kupata wateja wa kuwauzia mashudu. Nahitaji kujua yafuatayo
1. Maeneo gani hapa Dsm naweza kupata
2. Makampuni yanayohitaji kwa kiwango chochote
3. Bei zake kwa kilo au tani ni kiasi gani
4. Malipo hufanyika kwa cash au kwa mkopo na kama kwa mkopo baada ya muda gani
Nawasilisha