baby Sarah
Senior Member
- Nov 16, 2017
- 138
- 137
Habar wakuu, Karibun katika biashara yangu ya ice lolpop Au isikrim kama ilivozoeleka, nauza/nachukua Tenda /oda ya isikrim jumla na reja reja jumla nauza kwa shilingi Mia, reja reja kwa shilingi Mia mbili ,bidhaa zangu zipo katika ladha mbali mbali, embe, chungwa, nanasi, strawberry, napatikana kigambon shangwe, karibu Uje uchukue mzigo kwa jumla ukauze kwa reja reja na kupata faida, isikrim zinapendwa sana na watoto hata watu wazima uhakika wa soko 100% ukizingatia na hali ya hewa ya dar es Salaam, karibuni pm kwa Maelezo zaidi