BUILDING DESIGN KWA GHARAMA NAFUU

BUILDING DESIGN KWA GHARAMA NAFUU

Joined
Aug 4, 2018
Posts
34
Reaction score
20
(Price 200-150k)
NEW DESIGN FOR ROOFING

KATI YA VITU VINAVYOSAIDIA KUPUNGUZA GHARAMAH NI HII HIDDEN ROOF,

HUSAIDIA MTEJA KUPUNGUJA HADI 40-50% OF ROOFING COST (INATUMIA MBAO CHACHE NA BATI)

HAIVUJI 100% GURATEE KAMA ITAJENGWA KIUFASAHA

KARIBU KUPATA RAMANI KWA BEI NAFUU

KARIBU TUKUJENGEE PIA

NAMBA YA KUPIGA SIMU/ whatsup +255624004650
FB_IMG_15417034006737097.jpeg
FB_IMG_15417033430406245.jpeg
IMG-20181108-WA0000.jpeg
IMG_20180906_060751_886.jpeg
 
Attachments

  • FB_IMG_15417033265567997.jpeg
    FB_IMG_15417033265567997.jpeg
    17.6 KB · Views: 77
Naupenda sana ujenzi wa hvo.. ni wa kisasa ingawa huku mikoani kwetu haujashamir sana
 
(Price 200-150k)
NEW DESIGN FOR ROOFING

KATI YA VITU VINAVYOSAIDIA KUPUNGUZA GHARAMAH NI HII HIDDEN ROOF,

HUSAIDIA MTEJA KUPUNGUJA HADI 40-50% OF ROOFING COST (INATUMIA MBAO CHACHE NA BATI)

HAIVUJI 100% GURATEE KAMA ITAJENGWA KIUFASAHA

KARIBU KUPATA RAMANI KWA BEI NAFUU

KARIBU TUKUJENGEE PIA

NAMBA YA KUPIGA SIMU/ whatsup +255624004650View attachment 927957View attachment 927958View attachment 927959View attachment 927961
Nimejenga hio design 'Hidden Roof' gharama za kila kitu kuezeka hazifikii hata gharama ya mbao tu kama ningeezeka kwa mtindo wa kawaida.
 
Hizo nyumba zilivyo fupi halafu bati halionekani labda kama ni flat roof.
 
Local engineer wangu amesema hivyo ni gharama zaid ya normal roofing. Maybe ungetuwkea cost analysis tufanye comparisons
 
Kinachoongezeka kwenye hii ni kozi tatu za matofali ila mbao unatumia robo ya roof ya kawaida,mabati nusu ya roof ya kawaida. Nafikiri unajua gharama ya mbao.
 
Na ule upauaji wetu wanaweka mabati desing kama yamesimama hivi ili kupunguza joto. Vip huu kwa huu mji wa bashite?
 
Local engineer wangu amesema hivyo ni gharama zaid ya normal roofing. Maybe ungetuwkea cost analysis tufanye comparisons
That is the truth, kwenye ramani zinaonekana vizuri sana ila gharama ya maintenance ni kubwa
 
Na ule upauaji wetu wanaweka mabati desing kama yamesimama hivi ili kupunguza joto. Vip huu kwa huu mji wa bashite?
Ule upauaji ni kufuata mkumbo tu. Kwa joto inabidi uweke madirisha makubwa, ukiweza AC lakini si tatizo sana gypsum inasaidia kupunguza joto
 
Ila nikweli. Maana unakuta nyumba bati zimeinuka saana. Mara zimepinda pinda zimekatwa zimeungwa ungwa.

Wataalam wanatikiwa watufunishe saana hizi modern designs
 
[emoji2]kma umependa unampa kazi anakufanyia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom