Habari wadau..nina mpago wa kufungua car wash and detailing shop...nina fanya research juu ya upatikanaji na bei equipments na products kwa Dar es Salaam..Zaidi niko interested kujua wapi naweza pata Pressure washer za Compressor(if at all kuna kitu cha namna hiyo) na pia suppliers wa products kama car shampoo, upholstery cleaners, snow foams, waxes, etc...yoyote mwenye kufahamu nitashukuru usaidizi