Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakati tunaelekea Msimu wa Christmas na Mwaka Mpya basi Sikia hii JUZA FASHION ni Kampuni ya Uuzaji, Utangazaji na Usambazaji wa Nguo Africa Mashariki na Kati, Hivyo basi Kupitia kwenye Website...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Natumai mko salama kabisa Kichwa hapo juu kinajieleza kabisa Ukiwa huna Tcl una Lg au Samsung sawa ila iwe nchi 55 kipaumbele zaidi ni TCL tuma picha tuma sms au piga simu kwa 0759117175 Offer...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Kama kichwa kinavojieleza kwa wale mafundi, mbao au ujenzi. Kama kuna yoyote anayeweza kunisaidia hiyo epoxy itakuwa vizuri, nahitaji kidogo Sana kama nusu lita. Kuna project nataka kufanya...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
ni hp probook 6360b core i5 , 4gb ram . 300 hard disk ,processor 2.5 ghz inapga kazi vizur sana - battery halikai na chaji -pia left na right click button za kwenye touchpad hazifanyi kazi ila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES ALSO UNLOCKING PHONES BY IMEI UNLOCKING ANY GSM PHONES IPHONES NOKIA SAMSUNG ALCATEL BLACKBERRY UNLOCKING ANY...
6 Reactions
398 Replies
58K Views
Nauza Smartwatch yenye uwezo wa kufanya yafuatayo: -Ni touch screen yenye size ya 1.54 TFT" -Ina camera unaweza kupiga picha ukiweka memory card. -Ina uwezo wa kuweka simcard na memory card...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Inauzwa Galaxy e7 nzima Ram 3gb storage 16gb battery 2900mAh duos Very light Haina tatizo lolote. Bei 230000/- Contact 0754995752 Located in Mwanza
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Nahitaji kitanda cha 4*6 kilichokuw na hali mzuri ila kama kitapatikana cha chuma kitakuwa bora zaidi
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Nauza cherehani iliyo na uwezo wa kudarizi, kushona maturubai INA aina 18 za ushonaji. Inatumia umeme.Naiuza kwa Tshs 400,000/= maelewano yapi
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Hbr wananzengo,nimealikwa ktk harusi ya swahiba wangu inayotarajiwa kufanyika mwezi ujao ila vazi siku hiyo ni western suit.naomba mnijuze ni wapi nitapata western suit ya kukodi na itagharimu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Helloo nahitajii hii kitu kama kuna MTU anayoo njoo pm tuchongee, Nb. Njoo na bei ya kitanzania ilitufanyee biashara
0 Reactions
1 Replies
578 Views
Wadau natafuta gari Aina ya PROBOX iwe na Ubora tu siangalii namba bajeti yangu 5,5MILLION mwenye nayo karibu.....
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenye kujua bei ya tiles kwa Mwz naomba unisaidie kwa box size 60*60,size 50*50,size 40*40,size 30*45,na size 20*30. Asante
0 Reactions
10 Replies
13K Views
habar wana jamvi najitokeza kutafuta instagram account ya kununua yenye kuanzia followers 50,000 elfu hamsini mahususi kwa ajili ya kuanzishia biashara, yoyote mwenye nayo au kumfamhamu mtu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wajasiriamali...nawasalimu. Natafta biashara/mradi unaouzwa. Ninamaanisha biashara au mradi unaoendelea ila unauzwa kwa sababu yoyote isipokuwa za msuguano wa kikodi na serikali. Biashara au...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
2021
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Wakuu Kama kuna mtu anajua bei ya korosho za kuhokwa na soko lake kwa dsm likoje pia kama kuna mnunuzi hapa dsm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eneo lipo kerege kama unaelekea bagamoyo lipo upande wa kushoto, mita 500 kutoka lami Hati ya eneo ni ya viwanda Maeneo hayo kutoka lami yametengwa kwa ajili ya viwanda Kwa sasa panafaa...
1 Reactions
0 Replies
825 Views
Nipo temeke... namba zangu hizo 0742 900 511... Kama unavyo tujuzane nije kubeba mzigo
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu.. Natengeneza Membership systems za kulipia kwenye website kwa bei nzuri kabisa. System hii inatumika sana kwa wale wanaotaka kutoa taaluma/mafunzo ya ujasiriamali au ya kitu chochote...
0 Reactions
2 Replies
695 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…