Natafuta kitanda na Godoro 4*6 nina 100k.

Natafuta kitanda na Godoro 4*6 nina 100k.

simon baker

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
562
Reaction score
768
Nipo temeke...
namba zangu hizo 0742 900 511...
Kama unavyo tujuzane nije kubeba mzigo
 
Mkuu ukifanikiwa kupata kitanda na godoro, nishtue maana nina uhitaji wa shuka na foronya la kulalia, ninayo 10k hapa.
 
Mkuu ukifanikiwa kupata kitanda na godoro, nishtue maana nina uhitaji wa shuka na foronya la kulalia, ninayo 10k hapa.
Unakaa wapi nitafute nikuuzie mkuu
 
Si bora ununue godoro peke yake kwa hela hiyo,utapata lenye hali nzuri.

Vyote kwa hela hiyo itakuwa tatizo kidogo.
nimepanga double room..natakka room iwe na kitanda na godoro cha kuzugia..maana ili jiji lenu kwa ugeni wa gafla hamjambi sana..afu sio mkaaji ndo mana natafuta used
 
nimepanga double room..natakka room iwe na kitanda na godoro cha kuzugia..maana ili jiji lenu kwa ugeni wa gafla hamjambi sana..afu sio mkaaji ndo mana natafuta used
Ok mkuu,ila hiyo bajeti embu wekeza ktk godoro pekee,mgeni atalala tu.
 
ningekuuzia kitanda kipo 4*6 Ila chaga zake mbovu
 
Kuna nyuzi nyingi za wauza fernicher humu jaribu kuzitafuta
 
nillipata kwa 90k wakuu..asanteni
tena 5*6 ..
changamoto...umbali tu..maana nilikifwata Buza usalama huko..
godoro nalo limechoka choka..ila sio mbaya ..nikiwa na ugeni nina pakuwaegesha japo..
asanteni
 
Back
Top Bottom