Kama upo Dar nenda Tandika au kariakoo utazipata za bei hiyo... Ingawa, ya bei hiyo inaweza isiwe imara sana. Kuanzia 50,000/- utapata feni nzuriZa asubuhi wadau. Kama tangazo linavyojitangaza nahitaji feni na budget yangu ni 30,000. Kwa mawasiliano zaidi nicheki kwenye hii number 0712 22 02 07.