Natafuta vitabu kwa bei ya jumla

Natafuta vitabu kwa bei ya jumla

cilla

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
372
Reaction score
299
Nataka kufungua bookshop kwaajili ya mahitaji mbalimbali ya vitabu.Natafuta maduka ya vitabu yanayouza vitabu mbalimbali kwa bei ya jumla.
 
Nataka kufungua bookshop kwaajili ya mahitaji mbalimbali ya vitabu.Natafuta maduka ya vitabu yanayouza vitabu mbalimbali kwa bei ya jumla.
Mkuu umefanya utafiti wa kutosha, biashara ina changamoto sana hiyo, mfano watu wengi siku hizi wanasoma kupitia internet, baadhi ya watu wamekuwa wanatoa copy za vitabu wanauza kwa bei ndogo ww unabaki na ma original yako hayauziki kwa sababu ya bei, mashule na baadhi ya walimu wameingilia biashara, usomaji wa vitabu uko chini, ziko nyingi tu,
 
Nataka kufungua bookshop kwaajili ya mahitaji mbalimbali ya vitabu.Natafuta maduka ya vitabu yanayouza vitabu mbalimbali kwa bei ya jumla.
Nenda kariakoo mtaa wa maduka ya simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom