Kiwanja kinauzwa kipo ununio kimefc lami

Kiwanja kinauzwa kipo ununio kimefc lami

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Uwanja uko ununio na umefec lami, panafaa biasha na makazi pia.
Size plot 3188 sqm

Bei 250m

Bei inamaongezi.

Mawasiliano zaidi 0756060183
IMG_20181213_104717.jpeg
IMG_20181206_091501.jpeg
IMG_20181206_091541.jpeg
IMG_20181206_091130.jpeg
IMG_20181206_091355.jpeg
 
Nahali ya uchumi wasasa kwa bei hiyo ipo juu sana punguza
 
Ndio mkuu hata hivyo sio bei yake hapo tumepunguza sana, ila hamnashida hata hapo maongezi yapo tunaweza kusikiliza ofa ya mteja
Nahali ya uchumi wasasa kwa bei hiyo ipo juu sana punguza
 
Duuuu wakati mwingine anatamba kujenga Banda la Mil 40 kwa mwingine hiyo fedha ni ya kununulia mchanga pekeee. Safi sana vijana tupige kazi tutatoboa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom