Satelite finder inatumika katika kufunga madishi au kurekebisha dishi endapo litayumba,
Mafundi wakufunga madishi mnakaribishwa #acha kufanya kazi yako kwa kukariri.
Pia yeyote waweza inunua ili...
INAUZWA
SONY EXPERIA Z
Storage 16 gb | Ram 2
Camera 13mp LED Flash
1.- dust proof and water resistant over 1 meter and 30 minutes
2.-Front/back glass, plastic frame
Condition used like new
No...
Kwa wanaitaji samaki sato na kambale wa kufugwa bwani !ni fresh navua siku moja kabla ya kupeleka mzigo (delivery) napatikana dar es salaaam bei Tsh 7000 per kg
Karibuni
Tuna peana offer hii kwanzia Taree 17/12/2018 adi taree 01/01/2019, kwa wasanii ambao wanaanza mziki, Wowote iwe Gospel, au nyimbo za mapenzi,
EMB RECORDS ipo inchini Kenya, Nairobi Street, ili...
LOCATION :CHANGANYIKENI
SPECIFICATIONS: 3 BEDROOMS INCLUDING 1 MASTER-ROOM, KITCHEN, STORE, AND PUBLIC TOILET.
QUALITIES: GYPSUM, TILES, SECURITY, PARKING WATER AND ELECTRICITY.
PRICE :800K
"THE NETWORK" Tunaleta huduma mikononi mwako.
Habari wakuu..!
katika pitapita za kimaisha nmekutana na hali ambazo ninakuwa na uhitaji wa kupata huduma flani kwa haraka pasipo kujua jinsi gani...
Sasa unaweza kulinda vifaa vyako vya umeme kama simu, computer, friji na mashine nyingine za umeme tumia nano protech spray itakayolinda kifaa chako kwa mwaka mzima.
Tunapatikana mtaa wa ungoni...
Wadau, natafuta injini ambayo itafiti kwenye KAWASAKI KMX200,ina ukubwa kama Baja, sasa niweke injini ipi yenye nguvu nzuri , iwe ya kichina au kijapani, na kama bei inafahamika naomba kupewa majibu
Habari za majukumu ndugu,
Nimepata changamoto kidogo, nauza mbao zangu zilizokua site kwaajili ya Ujenzi.
Nimeamua kuuza ili kutatua changamoto binafsi nilizo nazo za kifamilia.
IDADI YA MBAO
2*2...
Habari zenu wakuu..Nina vifaa vya ujenzi(used) nilinunua toka UK kwa ajili ya biashara ya kukodisha. Kwa bahati mbaya yule aliyekuwa asimamie biashara hiyo alitangulia mbele ya haki, hivyo...