X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,786
- 15,002
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Ungekuwa Dar ninayo mpya kabisa Zec nchi 24 flat screen. Picha murua kabisa.Nahitaji TV Kama kichwa cha ujumbe kinavyo jieleza.... BAjeti yangu 200,000/= nipo Tanga.
Ila napenda ambayo haijafunguliwa.
nirushie Picha ni Aina gani.....?Ungekuwa Dar ninayo mpya kabisa Zec nchi 24 flat screen. Picha murua kabisa.
naitaka ila nipo hapa Rwanda ilete nitakurudishia nauli yakoUngekuwa Dar ninayo mpya kabisa Zec nchi 24 flat screen. Picha murua kabisa.
Rwanda ipi hiyo mkuu?naitaka ila nipo hapa Rwanda ilete nitakurudishia nauli yako
Kiongozi bei inashuka tufanye biasharaUngekuwa Dar ninayo mpya kabisa Zec nchi 24 flat screen. Picha murua kabisa.
Bei inapanda mkuu badala ya kushuka.Kiongozi bei inashuka tufanye biashara