Mwenye Xtrail namba D yenye hali nzuri

Mwenye Xtrail namba D yenye hali nzuri

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
2,101
Reaction score
5,442
Kuna jamaa yangu anahitaji xtrail namba D yenye hali safi na bei reasonable.
Kama yupo namuomba inbox
 
Ana milioni 17 nimpe hizi xtrail mpya?
Yangu ninnamba D. Siitumii sana Mara moja moja maana mi niko mkoani
 
Sasa mkuu unazingatia namba badala ya ubora na muonekano gari ? OK sawa subiri waje wajuwaji wakusaidie
Tangazo linasema yenye namba D yenye hali safi..................
 
Kuna jamaa yangu anahitaji xtrail namba D yenye hali safi na bei reasonable.
Kama yupo namuomba inbox
Nisani x-trail simshauri kabisa kwanza lubricants zake original ni gharama sana.. pia na spea zake genuine ni gharama kichiz.. Pia engine zake zina mtindo wa kutanuka with time baada ya muda kubadilisha engine block ni kugusa tuu..
 
Watu mnakariri tu mkuu yani watanzania tunaishi kwa kukariri, mfano ushasema spare zake ni genuine halafu ghali sa we wataka fake halafu cheap? Fuata matunzo ya gari weka vimiminika sahihi, service on time, mafuta safi uone ka italeta shida
kuna tofauti kubwa kati ya samsung tv OG na Star X
 
Hiyo namba DED nahitaji milioni 10
IMG-20181214-WA0011.jpeg
 
Watu mnakariri tu mkuu yani watanzania tunaishi kwa kukariri, mfano ushasema spare zake ni genuine halafu ghali sa we wataka fake halafu cheap? Fuata matunzo ya gari weka vimiminika sahihi, service on time, mafuta safi uone ka italeta shida
kuna tofauti kubwa kati ya samsung tv OG na Star X
Ndo maana nimekuambia gharama .. ina maana nalinganisha na magari mengine kama ya toyota ambazo spare na lubricants genuine sio ghari..

Mfano tu mkuu mm nimeshamiliki xtrail iv unajua hydraulic fluid yake genuine ya gearbox ya NISSAN MATIC- FLUID J lita moja tu inauzwa sh ngap??
 
Siku zote siyo kwa xtrail tu magari ya Nissan spare na vimiminika vyake gharama coz ni genuine vifaa vyake havichakachuliwa. Ni bora umiliki genuine ili uwe na hakika na kile unachoweka na ukiweka umeweka japo ni ghali kitadumu wa fake ashabadiri mara tatu na wewe ndipo wabadiri
 
Back
Top Bottom