Andymswati
New Member
- Oct 26, 2018
- 2
- 1
Nothing
Unajua maana ya 9.5K??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nauza Samsung galaxy note 8 used 3months 9.5k
Contract..07591111017
Location...mikocheni Dar
Hao ndio wasomi wetu wa sasa, si waona hata tangazo kiingereza kingiUnajua maana ya 9.5K??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hujui acha nikusaidie tu 9.5K ni elfu tisa na mia tano.
Mimi huwa nikiona herufi K tu nakuwa nawaza mengine kabisa... Nawaza K-vantUnajua maana ya 9.5K??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hujui acha nikusaidie tu 9.5K ni elfu tisa na mia tano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa MR CheusiMimi huwa nikiona herufi K tu nakuwa nawaza mengine kabisa... Nawaza K-vant
Yaani mkuu mimi nilitaka nimepa 12k cash nyingine akanywee soda yaani Elfu 9 na mia tanoUnajua maana ya 9.5K??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hujui acha nikusaidie tu 9.5K ni elfu tisa na mia tano.
Mdada wa chuo anunue simu ya laki tisa kwa boom!Bidhaa nyingine ukishazitoa dukani kupata wateja/mteja mtaani mmmhhh Labda kule maofisini/vyuoni hasa kwa wadada wakiwa na boom.
Kila la kheri ila sitashangaa kuendelea kusikia nauza nauza!!Des, Xmas's, mwaka mpya,jan kodi,ada za watoto + Samsung Note 8 kwa 9.5k[emoji251][emoji251][emoji251][emoji251]