Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,184
Inahitajika mashine mpya ya photocopy CANON IR 2204 ni sh. ngapi kwa Dar es Salaam?
Picha pls kama hutojali BroMIMI NINAYO IR 2202 , IMETUMIKA KIDOGO, SIJAWAHI KUBADILISHA 'CARTRIDGE'. UNAWEZA KUIPATA KWA TZS 1.2M.
AIDHA WASILIANA NA MAISHA COMPUTERS: 0715 404040
Ni kama hii:Picha pls kama hutojali Bro
Mkuu hii inafaa kwa biashara ya stationery au ni kwa ajili ya matumizi madogo tu?Ni kama hii:![]()
Inafaa kwa maana sio ile yenye kuchukua karatasi za kukopi 'automatic'; Inabidi kuweka original moja na inaweza kutoa hadi kopi 99. Inachapa 22 kwa dakika.Mkuu hii inafaa kwa biashara ya stationery au ni kwa ajili ya matumizi madogo tu?
Ngoja nijichange kwanza mkuuSaivi ya canon IR 2204/2204N ndo toleo jipya ni mashine nzuri sana hii kwa ofisi hata kibiashara kwani gharama za uendeshaji ni ndogo
Bei ni 1.6M
Ni pm kama unataka!
Asante mkuuInafaa kwa maana sio ile yenye kuchukua karatasi za kukopi 'automatic'; Inabidi kuweka original moja na inaweza kutoa hadi kopi 99. Inachapa 22 kwa dakika.
Available core functions
Print, Copy, Colour Scan (USB only)
Print speed (BW)
22 ppm (A4), 11 ppm (A3)
Copy speed (BW)
22 ppm
60,000/=cartridge yake bei gani