MBAO za 2 by 2 na 2 by 4 zinauzwa kwa bei poa

leonard mwenda

JF-Expert Member
Nov 5, 2015
253
64
Habari za majukumu ndugu,

Nimepata changamoto kidogo, nauza mbao zangu zilizokua site kwaajili ya Ujenzi.
Nimeamua kuuza ili kutatua changamoto binafsi nilizo nazo za kifamilia.
IDADI YA MBAO
2*2 (two by two) zipo jumla 120
2*4 (two by four) zipo jumla 90
Mboa ziko treated tayari hivyo ni kuzitumia tu.

BEI:
2*2 nauza elfu 2800 badala ya 3500 (bei ya dukani)
2*4 nauza 6800 badala ya 7500 (bei ya dukani)
Napatikana KITUNDA
Nakaribisha offer pia.
Karibuni wote wenye Ujenzi kwa kipindi hiki.
PM for business
 
Weka namba yako tukusaidie kufowadi kwenye magrupu ya biashara Mkuu.
 
Nilikuwa nazihitaji mkuu, i
Habari za majukumu ndugu,

Nimepata changamoto kidogo, nauza mbao zangu zilizokua site kwaajili ya Ujenzi.
Nimeamua kuuza ili kutatua changamoto binafsi nilizo nazo za kifamilia.
IDADI YA MBAO
2*2 (two by two) zipo jumla 107
2*4 (two by four) zipo jumla 87
Mboa ziko treated tayari hivyo ni kuzitumia tu.

BEI:
2*2 nauza elfu 2800 badala ya 3500 (bei ya dukani)
2*4 nauza 6800 badala ya 7500 (bei ya dukani)
Napatikana KITUNDA
Nakaribisha offer pia.
Karibuni wote wenye Ujenzi kwa kipindi hiki.
PM for business
Nilikuwa nazihitaji mkuu, ila changamoto nipo mbali sana, Tunduru
 
2/4 mbona dukani ni 6000? Mimi nipo karibu Na maeneo yenu.weka no tuongee zaidi.
 
Habari za majukumu ndugu,

Nimepata changamoto kidogo, nauza mbao zangu zilizokua site kwaajili ya Ujenzi.
Nimeamua kuuza ili kutatua changamoto binafsi nilizo nazo za kifamilia.
IDADI YA MBAO
2*2 (two by two) zipo jumla 107
2*4 (two by four) zipo jumla 87
Mboa ziko treated tayari hivyo ni kuzitumia tu.

BEI:
2*2 nauza elfu 2800 badala ya 3500 (bei ya dukani)
2*4 nauza 6800 badala ya 7500 (bei ya dukani)
Napatikana KITUNDA
Nakaribisha offer pia.
Karibuni wote wenye Ujenzi kwa kipindi hiki.
PM for business
Nipe mawasiliano
 
Dar mbao bei rahisi sana ukilinganisha na mikoa ya kaskazini kama arusha.

Huo ubao wa 2*4 unauzwa 9000/- arusha.
 
Mhhhm huku kwetu simple tuhh , Mbao 2×2×12 ni 2200-2500/= Tsh hata 2000 unapata
2×4×12 ni 4000/= Tsh
 
Nimepunguza bei
Bei yako bado kubwa mjomba. Mi nilikupa offer ya 2x2 kwa 2500 na 2x4 kwa 5500 umegoma. Mtaani kwangu 2x2 ni 2,800 na 2x4 ni 6,000. So nikinunua tofauti na hapo haina haja ya kufata mzigo Kitunda na nilipe pesa nyingi zaidi kwenye usafiri. Ukiafiki bei hiyo nazichukua zote kesho asbh. Otherwise kila lakheri.
 
OK..kesho asubuhi tuwasiliane uje uzifuate.
 
Back
Top Bottom