Nauza gari isuzu direct injection

Heavy equipment

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,446
989
5c26daf47dd122f0372c4689f4eb0cc7.jpg
27b09da4f0a590a5cba5fc25994d4fa4.jpg
2055f713d0cfaf1aa7524ad9364e9768.jpg
f5e7a5be9965709c8a6a320f6992169d.jpg

Bei million 14
Inahitaji overhaul engine
Namba 0759812567
 
Duu muuzaji uache utani...hapa sema unauza body la lori
Nigari sio body na imeuzwa leo kwa milion 11.
Na imefanya kazi kwenye project ya TANESCO-backbone transimission power line lot 2&3
Likiwa limekodishwa na KEC international na ABH integrated resources, last year.

So, siyo kila kitu cha kudharau.
 
Tunahitaji magari yanayoendana wakati sio kunyonga steering hadi unywe dragoni la sivyo huwezi
 
Nigari sio body na imeuzwa leo kwa milion 11.
Na imefanya kazi kwenye project ya TANESCO-backbone transimission power line lot 2&3
Likiwa limekodishwa na KEC international na ABH integrated resources, last year.

So, siyo kila kitu cha kudharau.
Sasa kama imeuzwa si ufute thread hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom