Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Tunajishugulisha na uuzaji wa magari kwa bei nafuu, magari ni mengina ya aina mbali mbali, nimeweka picha hapo na nitaweka zingine zaidi, utakayoona...
1 Reactions
95 Replies
32K Views
Kama heading ilivyo jieleza kwa wanao hitaji kufungiwa CCTV sehemu yoyote kwa ajili ya ulinzi na mafundi wanao funga installation ninazo camera aina Tofauti DAHUA mafundi ntawauzia kwa bei ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
HD CCTV Camera, kila moja Tsh 30,000/- DVR Four Channels, Tsh 150,000/- Hii ni offa maalum ya kufunga mwaka, jipatie cctv camera kwa bei poa na uweke ulinzi wa nyumba na mali zako. Camera...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Zifuatazo ni baadhi ya huduma tunazotoa kwa gharama nafuu kwa biashara na hasa ndogondogo na za kati; a) Tunatengeneza tovuti (website) kwa bei nafuu b)Huduma za Mahusiano kwa Umma (Public...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Wengi wetu neno dijitali tulianza kulifahamu wakati ule mfumo wa televisheni zetu unahama kutoka analogia kwenda dijitali, neno hili lilipata umaarufu sana lakini ukiuliza maana halisi ya dijitali...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Gari aina ya Suzuki Carry mini bus ipo kwa kazi za masoko hususan wauzaji wa vyombo, vyandalua nk. Lipo Dsm. Kwa anayehitaji kulikodisha tuwasiliane kwa namba 0625806048
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kujua wapi nitapata wino au Cutrage ya printer aina Ya DESKJET HP 2050 kwa haraka na kwa bei gani wakuu mwenyekujua anijuze tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
854 Views
64 gb Bei sawa na bure 0692612295 550000 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
2K Views
FACEPOZZ OPEN SHOES MANUFACTURES TUNATENGENEZA VIATU AINA MBALIMBALI TUNATUMA MZIGO MKOANI BUREE KWA WALE WATEJA WA MZIGO WA JUMLA. VIATU HIVYO KWENYE PICHA NI 5000/=TU.WASILIANA NASI 0755213580
1 Reactions
53 Replies
12K Views
Wakuu habari. Natafuta hizo kamba kwa bei ya jumla. Zile pana na ngumu ambazo unaweza kuandika na ikasomeka vizuri bila kufutika kirahisi. Rangi ni bluu au nyekundu. Kama inavyoonekana hapo chini...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
INAUZWA XIAOMI REDMI NOTE 2 Dual sim Network 4g Storage 16gb Ram 2gb Camera 13mp led flash Selfie 5 Battery 3030 Display 5'5 Simu iko vizuri sana Bei 200000/- Sent using Jamii Forums mobile app...
0 Reactions
4 Replies
686 Views
Vyumba viwili na sebule na jiko kimoja master bed room,kingne public toilet. Kipo mbezi njia ya goba Maelezo zaidi 0787688433
0 Reactions
5 Replies
918 Views
Habari ndugu zangu
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Nahitaji msaada wa jinsi ya kutengeneza application kwa wanaofahamu nipeni ujuzi na wengne wajifunze Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Habari za leo! Natafuta huduma ya kuchibiwa bwawa la samaki Shambani kwangu. Niko Bagamoyo maeneo ya Kidomole. Kwa mtu yeyote anayetoa huduma hii au kama unamfahamu mtoa huduma hii /kampuni...
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Je mna kikundi chochote chenye idadi ya watu kumi (10)? Na kuendelea? Je mnahitaji bima ya afya? Kama jibu ni ndio, njoo inbox tuzungumze Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni WAP hapa dar naweza Zapata wauzaji wa jumla wa handbags za kina Dada km hizi ....kwa being nafuu maana na sisi tunatka ....tupeleke mikoani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kwa Dar zinauzwa wapi Photo emalsion,pamoja na rangi za kuprintia tshirt kwa njia ya screen?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu nauza mayai ya kisasa shilingi 8800/= kwa tray. Kwa atakayehitaji anicheck WhatsApp/SMS kwa namba 0757969866.
0 Reactions
19 Replies
6K Views
FINESPACE AND BUSINESS CONSULTANCY ni kampuni iliyosajiliwa chini ya sheria za jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyopo maeneo ya BunjuA Vigae Dar es salaam na inatambulika kupitia huduma...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom