Bima ya afya ya kikundi

Bima ya afya ya kikundi

Ni Aina gn yakikundi kinachohitajika, kilichosajiliwa au hata chakawaida wa2 waliojikusanya tu..

Mnatoa bima ya Afya ya aina gan nanikampuni gani

garama zipoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana kiongozi kwa swali zuri, kwanza kikund kinapaswa kusajiliwa, na kiwe na shughuli maalum inayowatambulisha, mathalani kikundi cha vikoba, wafanya biashara, waajiriwa, nk

Kampuni yetu itakayowaudumia ni BRITAM INSURANCE, watu watakaokua tayari, ntawapa maelekezo yakiwepo, gharama ya huduma, hospital za kutibiwa, mgonjwa ya kutibiwa nk.

Ahsanteni

Kumbe bima zina limitation ya magonjwa!!!! Kwahiyo mtu akiumwa ugonjwa ambao hamjauorodhesha, bima haihusiki?! [emoji15]

Ina limitations ya magonjwa kulingana na kitu inaitwa (benefits) faida utazozipata kulingana na (premium) pesa uliokatia bima. Hizi bima za afya zipo za aina mbili. Ya kwanza micro health insurance (hii ni kwa ajili ya watu wa kipato cha kati, au kidogo na wengi wao wanapatikana katika informal sector) ya pili inaitwa (macro insurance) hii ni vice versa ya kwanza.

Kwa ufupi, matibabu ya magonjwa makubwa yanahitaji pia bima kubwa. Lakini hizo za vikundi bei yake ni cheap na inatibu yale magonjwa ambayo ni very generally kama malaria, homa, typhod nk
Ni elimu ndefu kdg, i wish tukapata wasaa nitoe ufafanuzi.
Unaweza kunicheki hapa, Andrewmichael245@gmail.com tukapeana info zaidi.

Vipi kwa mtu mmoja mmoja ? Au mpaka kuwepo na kundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom