Joeh banks
Member
- Jan 6, 2019
- 6
- 1
Ask first before you judge ungeuliza kwa nn inauzwa bei rahisi kabla ya kukujijibu mwenyeweMh hiyo bei nahisi itakuwa iPhone fake au simu ya wizi
wakati mwingine ni vizuri kuweka maelezo yote ya msingi kuhusiana na bidhaa yako ili kupunguza maswali yasiyo ya lazima.Ask first before you judge ungeuliza kwa nn inauzwa bei rahisi kabla ya kukujijibu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio useme sasa kwa nn unauza bei rahisi halafu igeuze na nyuma basiAsk first before you judge ungeuliza kwa nn inauzwa bei rahisi kabla ya kukujijibu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
reyzzap ebu kuja pande hii