Msaada Nahitaji rangi za kuprintia tshirt

Msaada Nahitaji rangi za kuprintia tshirt

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
kwa Dar zinauzwa wapi Photo emalsion,pamoja na rangi za kuprintia tshirt kwa njia ya screen?
 
Kariakoo mtaa wa Msimbazi karibu na kituo cha mafuta cha Big Bon kuna duka linauza. Ukifika maeneo hayo ulizia mtu anaeonekana kuwa mwenyeji akuelekeze dukani kwa Saju.
 
Back
Top Bottom