Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,289
- 2,472
Wakuu habari. Natafuta hizo kamba kwa bei ya jumla. Zile pana na ngumu ambazo unaweza kuandika na ikasomeka vizuri bila kufutika kirahisi. Rangi ni bluu au nyekundu. Kama inavyoonekana hapo chini. Muuzaji tuwasiliane inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app