XIAOMI REDMI NOTE 2 DUAL SIM
Network 4g | Display 5'5
Storage 16gb | Ram 2gb
Camera 13mp | Selfie 5
Battery 3030
Simu iko vizuri sana
Bei 120000/-
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani ninataka kufungua bakery nimepata changamoto ya vifungashio kwa yeyote anayefanya biashara hii ya vifungashio anitafute ninashida hiyo sana kwa sasa
Naomba sana msaada wenu asanteni
Wakuu,mambo vipi! Mimi ni Mtaalamu wa Computer, Nina Bachelor Degree in Computer Science. Nipo Dar Es Salaam. Kwa sasa Ninafundisha kwenye Chuo kikuu kimojawapo hapa Dar.
Ninafundisha MTU mmoja...
Jipatie
Tv nch 32 Philips flat screen
280000
Tv nch 21 Philips chogo
110000
Sabowfer
Sea piano
50000
Ps 3 super slim
320000
Ps 2
110000
Sent using Jamii Forums mobile app
Intel celeron CPU B820 1.70GHZ
BRAND: Samsung
HDD:350 GB
RAM:2GB
BATTERY:2HRS
Tatizo: left click yake inasumbua kidogo
Bei:nakaribisha offer zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
BAGAMOYO.......TEGETA....MBWENI...GOBA....KIGAMBONI!!!!!!!!VIWANJA VINAPATIKANA
*BAGAMOYO*
* Magambani Block B
2 Available Plots vya sqm 1727 na Sqm 1800
Price per sqm ni Tsh. 25,000/=
1.5 km...
Kampuni ya Mobisol Tanzania; tunawajali Watanzania kwa kuwapatia huduma ya mitambo ya solar kwa mkopo wa gharama nafuu.
Wasiliana nasi tukuhudumie. Masharti yetu ni nafuu na mitambo yetu ni ya...
Natafuta Fundi welding mwenye ujuzi wa kuteneza grill za milango na madirisha pamoja na vitanda, Awe na uwezo wa kufanya kazi peke yake bila ya kusimamiwa . Aaminifu ni kitu muhimu . Napendelea...
Habari zenu wazeee wa chimbo, nawatakia mapendo mema daima kati yenu
Kama kichwa kinavyojieleza
GARI : Toyota voltz 2003
ENGINE : 1790cc
MKANYAGIO : MANUAL
RANGI : Nyeusi
NAMBA YA GARI : DFZ...
Update: 24 Dec. 2013
Offer ya X-Mas & Mwaka Mpya 2014:
Nunua Vocha za TunnelGuru/PD Proxy kwa tsh 6,500/- tu.
Upate UNLIMITED kwa siku 30 bure.
Nakutakia X-Mas njema. Mwisho wa offer hii ni...
Wana jukwaa habari zenu, ningependa kupata msaada wenu kwa kuorodhesha baadhi ya shule za private zinazopatikana mitaa ya upanga dar es salaam n vizur zaid kama ntapata za secondary.
Habari wanajamvi, nauza asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo kwa bei ya jumla na rejareja. Napatikana bukoba ila naweza tuma mzigo popote ulipo. Asali safi kutoka tabora. Mawasiliano 0757769990...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.