Natafuta fundi welding

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
1,906
2,000
Natafuta Fundi welding mwenye ujuzi wa kuteneza grill za milango na madirisha pamoja na vitanda, Awe na uwezo wa kufanya kazi peke yake bila ya kusimamiwa . Aaminifu ni kitu muhimu . Napendelea zaidi eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu.
itapendeza zaidi maeneo ya Bunju B. Kama unahitaji hii kazi weka namba yako ya simu na eneo unaloishi au inbox me
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom