Nauza vifaa vya kufanyia biashara ya chips.
Kabati square meter 1
Meza 1 ya mbao Mita Moja na nusu kwa ajili ya kuwekea kabati
Meza 2 ndogo Za plastic
Viti 6 vya plastic
Jiko La gesi La karai...
Nina kuku wengi wa kienyeji nataka kuwauza nipo Gonja Maole- Same, Kilimanjaro kama kuna mtu anafahamu soko zuri la kuku kwenye mikoa nilio taja anijuze tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado iko vizuri, ukifika tu unaichukua unaondoka nayo hubadilishi kitu wala haidaiwi
Ndani ya miezi 3 tu inarudisha pesa yako
Njoo ukague na mafundi wanne maana mmoja hatotosha kwa jinsi ilivyokua...
Habarini wapendwa,natafuta sehem ambayo naweza lipia kwa kuweka kibanda changu cha biashara,lakini liwe eneo lenye watu na lenye biashara na liwe dar es salaam ! Nitashukuru,mwenye idea pls...
Nyumba ina wiring, gypsum kisasa,Aluminium windows, tiles, vyoo viwili ndani vyumba vya kulala 3,kitchen,sitting room, Ina miundombinu ya maji ndani,ina kisima cha maji baridi ya kunywa,Ina chumba...
jipatie sabuni nzuri za shaza
sabuni ambazo zitakusaidia kuondokana na matatizo ya chunusi za muda mrefu na hata alama nyeusi nyeusi,pia hufanya ngozi kuwa soft na ya kupendeza nauza kwa bei ya...
Specifications
Memory 32 GB
Unapewa na charger.
Simu bado mpya kabisa ipo katika hali nzuri.
Napatikana Mbezi mwisho DSM
Bei ni 680k.
Mawasiliano 0717916063
Kwa watumishi wa umma Jipatie mkopo chapchap ndani ya masaa 24 kiasi chochote kuanzia laki 1 na kuendelea
Mawasiliano: 0769467795
0684296454
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni machine ya kisasa inayo Fanya kazi ya kuprint matishert, mikoba, mizura na kofia. Inafanya kazi nzuri sana
Changamkia fulsa na umake money, km upon serious nchek kwa namba 0763208101 tufanye...
Hii ni mashine inakatakata mhogo mbichi vipande vipande kama slesi za mkate kwa kipimo unacho set. Kipimo kinachotakiwa sasa hivi ni sentimeta moja ya unene wa mhogo.. Baada ya hapo vipande vile...
Kiwanja kipo karibia na ziwani yaani kwa kifupi ni beach plot. Ukubwa ni heka 4.
Wamesha survey lakini hakijapimwa hivyonukinunua waweza omba kupimiwa
bei 16m
kwa maelezo zaidi ni pm
Welcome jr supplier ni wauzaji wa mchanga wa mtoni super kwa kujengea kwa bei ya jumla na rejareja tunapatikana mpiji river contact 0657710078
richbalele@gmail.com
Wakuu Nawaslimu kwa mpigo popote mlipo mnapolijenga taifa.
Mie ni mtaalam wa masuala ya fedha kwa kiasi chake, nimetengeneza spreadsheet template ambayo inawezesha ku-manage/track bidhaa/stock...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.