Naomba kujua bei ya dhahabu kwa gram

Inategemea, Kama ni dhahabu iliyotengenezwa kitu kama cheni au pete huwa inakuwa imchanganywa na madini mengine hivyo bei ya gram itakuwa ni kwenye elfu 45. na iwapo utaichoma kwa gas hadi ibaki dhahabu yenyewe itapimwa % yake na hapo ndipo utalipwa kwa bei iliyopo, kwa sasa dhahabu yenye 100% ina elfu 90 kwa gram. ila lazima ziwe angalau gram 5, cha msingi fafanua hiyo uliyo nayo kama ni dhahabu iliyotayari imetengenezwa kitu flani au ni ambayo imetoka migodini.
 
Imetengenezwa Pete
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom