Manka R
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 238
- 29
Mkuu nalipa milioni moja cash nipe tigo pesa au airtel money . Kufufua hii gari hadi isimame inahitaji milioni 6 cash. Nilitakiwa nikupe laki 9 sema nimeona nikuongeze hiyo laki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah...have mercy bro.Chukuwa 6 K MKUU,, shida yangu ni MABATI nitengezee MAJIKO ..,.gari hakuna humo
Sent using Jamii Forums mobile app
Apa ndio utakapoona udalali ni mgumu sana,Nauza hili gari Mil. 3.9
Ubora wa hali ya juu... Nicheki 0684223374
Haha hii ndo jf,watu wamejificha humu..nakujiona wako vizuri sanaukifatilia maisha halisi ya walio toa kejeli unaweza cheka upasuke
NB: mmoja wao namfahamu na khali yake ya maisha naifahamu ila tambo zake hahahahhahahah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chukuwa 6 K MKUU,, shida yangu ni MABATI nitengezee MAJIKO ..,.gari hakuna humo
Sent using Jamii Forums mobile app
akili za kitoto izo.Haha hii ndo jf,watu wamejificha humu..nakujiona wako vizuri sana
Sio tambo MKUU,,, mkono unajikuna pale unapofikia,,,,ukifatilia maisha halisi ya walio toa kejeli unaweza cheka upasuke
NB: mmoja wao namfahamu na khali yake ya maisha naifahamu ila tambo zake hahahahhahahah!
We boya tuMkuu nalipa milioni moja cash nipe tigo pesa au airtel money . Kufufua hii gari hadi isimame inahitaji milioni 6 cash. Nilitakiwa nikupe laki 9 sema nimeona nikuongeze hiyo laki.
Sent using Jamii Forums mobile app