mkuwadon
Member
- Feb 16, 2019
- 12
- 3
Habari za jioni mimi nipo songea natafuta soko la mahindi namba yangu ni 0767202501
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
shida naitaji kupata masoko siunajua huwezi peleka tuu lazima ujue unafikia wapi na unampelekea naniMahindi peleka mwanza,utapiga dili
asante kwa ushauri ila kwa ufupi mm ninayo mahindi kwahiyo nilikuwa natafuta watu ambao nitakuwa nafanya nao biashara ya kuwauzi haya mahindiMpwa hongera sana il ahebu ongeza taarifa za tangazo lako, sio wote watakua tayari kukupigia lakini kwa kuweka sawa tangazo lako ni wengin wanaweza kulisoma....nakushauri.
Ha ha ha ha ha peleka maeneo ya stendi muda wa jioni,mtu anakula kipande na maji siku inapita.Wakuu na mimi nauza maindi ya kuchoma.
Muindi mmoja 150/= .
Bei ya jumla.
Sasa maindi ekari 3 nipeleke stend mkuu!Ha ha ha ha ha peleka maeneo ya stendi muda wa jioni,mtu anakula kipande na maji siku inapita.
Kwa idadi hiyo sio mbaya,wanunuzi wapo; watembelee wanaochoma mahindi,nadhani soko,utapata la uhakika.Sasa maindi ekari 3 nipeleke stend mkuu!
Hii biashara ipo labda kwako ngeni.
Sawa.Kwa idadi hiyo sio mbaya,wanunuzi wapo; watembelee wanaochoma mahindi,nadhani soko,utapata la uhakika.
Wakuu na mimi nauza maindi ya kuchoma.
Muindi mmoja 150/= .
Bei ya jumla.