SOFTWARE Stock Management Solution.

kikorobota

Member
Aug 23, 2014
14
45
Wakuu Nawaslimu kwa mpigo popote mlipo mnapolijenga taifa.

Mie ni mtaalam wa masuala ya fedha kwa kiasi chake, nimetengeneza spreadsheet template ambayo inawezesha ku-manage/track bidhaa/stock kwa kiwango cha hali ya juu kabisa.

Spreadsheet template ina sehemu nne ambazo ziko intergrated. sehemu pekee ya kugusa ni sehemu ya kuweka bidhaa zilizoingia na zilizouzwa. Sehemu nyingine ziko locked na template inakuonyesha bidhaa zilizobaki gharama ya bidhaa zenyewe na faidha iliyopatikana kila siku katika wiki.

Stock Managment otlook.PNG

Faida ya mfumo
1. Kutrack bidhaa/stock yako bila kuumiza kichwa
2. Kuepukana na gharama za makatasi/madaftari za kila siku.
3. Kuweza kuona faidha yako jinsi uuzavyo kila dakika/saa au siku.
4. Unanunua mara moja na kusahau/hakuna licence fees/annual subs fees etc
5. Hakuna bidhaa kupotea (ilimradi zimeingizwa vizuri kwny sehemu husika, tofauti na kutumia karatasi)
6. Hauhitaji utaalamu kuweza kuutumia, sifa ni kujua kusoma na kuandika.
Mfano.PNG

Mfumo unafaa sehemu zifuatazo
1. Bar
2. Groceries
3. Maduka ya jumla/rejareja ya vinywaji vya aina zote
4. Maduka ya spear za magari etc
5. Maduka ya vifaa vya ujenzi.
6. Supermarkets n.k
Mauzo.PNG

mfumo huu ambao utawekewa kwny kompyuta yako, unaweza kutumiwa na Boss mwenye biashara akiwa mbali na ofisi kwa maana ya kwamba ataitisha idadi ya bidhaa zilizonunuliwa na zilizouzwa na kupata hesabu(faidha na gharama) yake papo kwa papo. Pia unaweza kutumiwa na mwajiriwa wake ili aweze kusimamia biashara kiunagaubaga bila makosa.
Stock balance.PNG

Mfumo umeandaliwa kwa kutumia ujuzi wa hali ya juu wa advanced Excel. Unakupa matokeo timely and accurately na kwa gharama nafuu kabisa.
Mwisho.PNG

Karibuni tusaidiane kufanya biashara kwa weledi, pia kwa maoni na ushauri.

TUMEANZISHA HUDUMA YA KUMFUATA MTEJA ALIPO NA KUMFANYIA STOCK TUNAMFANYIA MAHESABU YOTE KISHA TUNAPRINT DOCUMENT YAKE NA KUMUWEKEA KWNY FILE NA KUMKABIDHI. TUNAFANYA HIVO KILA BAADA YA WIKI AU MWEZI. HUJA HAJA YA KUWA NA COMPYUTA KWA HUDUMA HII.

TUWASILIANE 0787 32 32 61.
Ahsanteni.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,922
2,000
Kazi nzuri sana. Jitahidi ufanye kwa VB na baadae utengeneze EXE ili tuachane na Excel. Program iwe Stand alone na mwisho uweze kutengeneza Report pia kuwa na Jina la kampuni adress and all correspondence.

Swali.

1. Umetumiaje Macros kwenye Kazi yako?

2. Je kuna Buttons zaku calculate, clear data and all possible Functions

3. Je Tittles na Sub titles umezilock kiasi kwamba Kama mtu anafuta kitu bahati mbaya kisifutike au Cell isiwe selectable at All
 
Asante sana kwa comments na maswali. Maoni yako ni ya muhimu na nitayafanyia kazi kiufasaha. Kuhusu VBA na Macros bado sijazitumia kwny version hii. Titles na sub titles ziko locked kwny sehemu zote ambazo haziruhusiwi kuguswa kwa bahati mbaya au kwa makusudi.
Hakuna button za ku-calculate kwa jinsi ili simple, iko linked na punde ukiingiza bidhaa inarecalculate automatically
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,922
2,000
Asante sana kwa comments na maswali. Maoni yako ni ya muhimu na nitayafanyia kazi kiufasaha. Kuhusu VBA na Macros bado sijazitumia kwny version hii. Titles na sub titles ziko locked kwny sehemu zote ambazo haziruhusiwi kuguswa kwa bahati mbaya au kwa makusudi.
Hakuna button za ku-calculate kwa jinsi ili simple, iko linked na punde ukiingiza bidhaa inarecalculate automatically
Sawa kazi nzuri bro. Keep it up
 
isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
3,409
2,000
Hongera, naweza kupata nafasi ya kufanya marketing kwenye ofisi na biashara mbalimbali iliuweze kupanuka na StartUp yako kukua.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom