Pvc pipes

Pvc pipes

makoijr

New Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Bomba za pvc
IMG-20190213-WA0011.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,
Kama umeleta tangazo lako hapa mtandaoni,

Jaribu kuWeka wazi mambo muhimu yanayohusu bidhaa yako unayoitangaza.

Unazo kias gan?
Mzigo wako una ubora kias gan/kampun gani?
Unauza bei gani kwa Reja reja?
Unauza bei gani kwa anaechukua jumla?
Utaratibu wako wa Derivery ukoje kwa wateja wa Dar na Mkoani?

HAYO NI MASWALI MUHIMU, WATEJA WAKO WATATAKA KUJUA.

SASA,
Wee badala ya Kujibu swali kwa Jibu.
Wee unajibu swali, kwa Kumuuliza swali Mteja.

YAANI,
Unampa mteja kazi Mara mbili,

1. kazi ya kutafakari atapata vipi hela anunue mzigo wako.
2. Kazi ya kutafakari Atajibu Vipi maswali yako.

HIYO namba 2 Haifai kabisa katika Biashara.

Ni Ushauri tu.



Wewe Unataka ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom