Vifaa vya chips

Vifaa vya chips

Lacute

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
336
Reaction score
164
Nauza vifaa vya kufanyia biashara ya chips.
Kabati square meter 1
Meza 1 ya mbao Mita Moja na nusu kwa ajili ya kuwekea kabati
Meza 2 ndogo Za plastic
Viti 6 vya plastic
Jiko La gesi La karai moja
High pressure valve
Mtungi kg30
Makarai 2
Frying pan 3
Chef knives
Cutting board
Machujio
Yani kiujumla na vyombo vidogo kasoro sahani vipo
Nauza Kwa vyote au hata kimojakimoja.
Bei maelewano, njoo na offer yako af tutaongea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza vifaa vya kufanyia biashara ya chips.
Kabati square meter 1
Meza 1 ya mbao Mita Moja na nusu kwa ajili ya kuwekea kabati
Meza 2 ndogo Za plastic
Viti 6 vya plastic
Jiko La gesi La karai moja
High pressure valve
Mtungi kg30
Makarai 2
Frying pan 3
Chef knives
Cutting board
Machujio
Yani kiujumla na vyombo vidogo kasoro sahani vipo
Nauza Kwa vyote au hata kimojakimoja.
Bei maelewano, njoo na offer yako af tutaongea


Sent using Jamii Forums mobile app
Ujaandika upo wapi? Picha ujaweka namba hujui humu au wabongo wengi ni matomaso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza vifaa vya kufanyia biashara ya chips.
Kabati square meter 1
Meza 2 za kucomelea na 1 ya mable
Jiko kubwa la Gas na mtungi wa gas wa kilo 15
High pressure regulator
Makarai 2 ya chips
Nauza bei ya kawaida sana

Nipigie 0653-178586
Whatsapp no 0620729600

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vifaa vipo mbezi mwisho Dar..
0624060662
Mimi Niko mbali na vyombo mkuu lakini Kama mtu Yuko interested naweza kumuelekeza akaviona. Kuhusu Bei 600,000 maongezi yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom