Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

Mayala B

JF-Expert Member
May 13, 2019
1,450
3,379
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.

Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.

Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.

Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.

Roho yangu inaniuma sana.

Nami naweza tangulia muda wowote.

Nitawaletea kinachoendelea

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu, ni kipindi cha kumkimbilia Mungu, mtegemee yeye peke yake hata kama sisi wanadam tumekuangusha!
Upo mlango wa kutokea hapo ulipo, tazama
Bado kuna tumaini hata giza liwe totoro kiasi gani!
Acha kujipa matumaini yasio na msingi,huyo Mungu alisha msaidia nani?
Mbona wote wanashida?hz faraja zako nizakijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usifikie huko mkuu,Muombe Mungu atakusaidia,au share na kiongozi wa dini unayemwamini au mtu mzima ktk mazingira uliyokaa.

Wote tunapitia magumu mkuu,jitahidi kusimama na kukataa mawazo ya kujitoa uhai.......tunakuhitaji
 
Pole sana mkuu, ni kipindi cha kumkimbilia Mungu, mtegemee yeye peke yake hata kama sisi wanadam tumekuangusha!
Upo mlango wa kutokea hapo ulipo, tazama
Bado kuna tumaini hata giza liwe totoro kiasi gani!
Mkuu hakuna kiumbe anamuomba ana muomba Mungu kama mimi dunian

Mungu ni mashaid

Nimekuwa ni mtu wa kuteseka tu hakuna msaada wala matumain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujipa matumaini yasio na msingi,huyo Mungu alisha msaidia nani?
Mbona wote wanashida?hz faraja zako nizakijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mimi namuomba sana Mungu lakin sisaidiwi

Ifike hatua Mungu atoe kifo kwa hiari kwa mimi mimi sikujizaa wala kujiumba

Kama alivyoniumba kwa hiari yake bas namuomba aniue kwa hiar yake pia

Siyo kuteseka namna hii ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jipe moyo wiki ijayo muda kama huu hautakuwa kwenye hali hii uliyonayo sasa, kwa namna yoyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu mateso niliyo nayo ni Makubwa sana

Nimemutumaini Mungu bila msaada nimechoka bora nife tu mimi

Machozi yananitoka mimi nimekuwa ni Mtu shida miaka yote sijapenda kuwa mjinga wa kwenda kwa waganga

Nimemutumania Mungu lakin wapi

Kama Mungu kaweka agano na shetan niingie kwenye kikombe hiki bas nimechoka Mungu atafute mwingine naomba kikombe hiki kiondoke kwangu ila siyo kwa Mapenzi yangu bali kwa mapenzi yake Mungu mwenyewe



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funguka umekutwa na au unapitia nn.

Huwezi jua Kuna mtu aliwahi kupitia kipindi Kama chako au zaidi anaweza kukupa ABC ya namna yeye alivyosolve.

Unavyokaa kimya husemi unataka sisi tukusaidieje, umekuja kutoa taarifa au kuomba suruhisho/ushauri????

Kizibo
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga.

Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa.

Kuna mambo magumu sana ambayo wanadam tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata msaada kutoka popote pale ambao unaweza pata.

Toka unazaliwa unaishi kwenye shida mpaka unakua na mpaka kifo kinakuchukua kwa shida.

Roho yangu inaniuma sana.

Nami naweza tangulia muda wowote.

Nitawaletea kinachoendelea

Asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Busara ya mtu, uvumilivu, ustahimilivu, ucha MUNGU, hupimwa kipindi ambacho
1.Kafanikiwa sana.
2. Hana kitu.

Nakusihi ndugu, usichoke wala kukata tamaaa. Ni ngumu mno, lakini unaweza haijaja hii hali bure tu, bali imeruhusiwa kukufika kwa sababu

1.Unaweza imudu ikapita, usidanganywa na maumivu ya moyo.

2.Njia yako kujifunza kitu na kusimama thabiti.

Sasa, pambana day and night. Pambana kiakili, kimwili na kiroho. Kubwa zaidi, jaza moyoni mwako Swali kwa muumba na kiu ya kujua ufanye nin kutoka hapo?? Usijaze masononeko na kulalamika, usijione ni victim.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Msaada Mkubwa ambao mimi nauona mbele yangu, ambao unaweza kuniokoa na shida pamoja na tabu mbali mbali ni KIFO

Sent using Jamii Forums mobile app
tafuta furaha nyingine, taabu na mateso ni kwa muda mfupi tu itaisha.
kama ulikuwa hutumii pombe anza kutumia, na kama ulikuwa unatumia basi acha. hii itakuondolea depresion.

Nb: hakuna taabu,mateso wala shida mpya unavyokutana navyo hata sisi tumeshakutana navyo na tunakabiliana navyo kila siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom