Jipatie viatu vya kisasa vya ngozi ndani ya mkoa wowote Tanzania

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,180
12,656
Habari za uzima WAJASIRIAMALI wenzangu nafikiri mpo Safi kiafya, labda niende Moja kwa Moja kweny point kuntu ya kuinua uchumi wetu WAJASIRIAMALI,

FACEPOZZ OPEN SHOES MANUFACTURERS, wanakuletea viatu vya kisasa vya ngozi ndani ya mkoa wowote Tanzania.

Makao makuu yetu yapo Dodoma Na tunajali wateja wetu tunatuma mzigo kwa gharama zetu sisi mkoa wowote ule.

Tunauza kuanzia pea 10, Ila kama upo DODOMA Na SINGIDA mteja tunamuuzia kuanzia pea 5

Bei zetu ni safi kuanzia 5000/= mpaka 9000/= kwa sendo za ngozi za kike

Pia za kiume nazo zinapatikana kuanzia elfu kumi mpaka elfu kumi Na mbili.

MAWASILIANO WHATSAPP 0623246897
0673707284

View attachment 980132View attachment 980133
IMG-20181227-WA0032.jpeg
IMG-20181227-WA0028.jpeg
IMG-20181227-WA0029.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mvaaji mkubwa sana wa hizi sandals ,nimenunua za kibongo na hizi zinazotoka kwa wenzetu wakenya .Kiukweli Wakenya
wamejitahidi sana sandal ipate maji,ipigwe jua bado iko imara ,ila hizi za kwetu ubora bado,jitahidini kwenye ubora
hizi za Kenya unauziwa 25-30,ila hujuti
 
Ndio maana hapo juu jamaa kasema ni elfu 9 mpaka 12.
Kwahiyo hata ubora lazima usiwe sawa na hizo za 25-30.
Isitoshe pia hata akitengeneza za ubora wa hali ya juu, lazima mtamkosoa, maana sisi wabongo tunajuana.
 
Kwa akili yako unadhani Ksh 30 ni sawa babe Tsh ngapi...? Ni bei chee zaidi, bora kuagiza Kenya kuliko Dodoma kama lengo ni biashara..... kwa kuzingatia ubora na bei kama ni hizo tajwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mvaaji mkubwa sana wa hizi sandals ,nimenunua za kibongo na hizi zinazotoka kwa wenzetu wakenya .Kiukweli Wakenya
wamejitahidi sana sandal ipate maji,ipigwe jua bado iko imara ,ila hizi za kwetu ubora bado,jitahidini kwenye ubora
hizi za Kenya unauziwa 25-30,ila hujuti
Mkuu hizi zipo poa sana siyo zile za ukitia maji zinajikunja mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom