Kinyama kwenye ashua ya kukujike

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,657
698,379
Tulikuwa na ile mada yenye ukakasi juu ya kinyama njia ya haja kubwa kwa mwanamke
Tukumbushane kule kijijini zamani bibi zetu walipokuwa wakikata kile kinyama nyuma ya ashua ya kuku jike mara anapoanza kutotoa vifaranga...
Njia hii ilisaidia sana vifaranga kutokufa na kuweza kutotolewa vyote.... Kwa familia ambazo zilidharau huu mchakato vifaranga vilikufa.... Ukilinganisha na ile mada kuhusu kile kinyama naona kuna uhalisia mkubwa tuu...
Tafadhali usijaribu kwenda kuanza kufudua kuku za watu nyeti zao
 
Tulikuwa na ile mada yenye ukakasi juu ya kinyama njia ya haja kubwa kwa mwanamke
Tukumbushane kule kijijini zamani bibi zetu walipokuwa wakikata kile kinyama nyuma ya ashua ya kuku jike mara anapoanza kutotoa vifaranga...
Njia hii ilisaidia sana vifaranga kutokufa na kuweza kutotolewa vyote.... Kwa familia ambazo zilidharau huu mchakato vifaranga vilikufa.... Ukilinganisha na ile mada kuhusu kile kinyama naona kuna uhalisia mkubwa tuu...
Tafadhali usijaribu kwenda kuanza kufudua kuku wa watu nyeti zao
Sasa umetuambie ili tukafunue ama tusifunuwe hao vyuku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom