Domo zege linatesa moyo wangu

immasakha

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
489
281
Ni takribani miaka 28 tangia kuzaliwa kwangu, imefika hatua sasa ninahitaji mwenzangu wa kuishi nae.

Kila nikijaribu kutaka kumtongoza msichana nashindwa hata nianzeje, nikijaribu kusalimia hata salam kuitikia naona kama ninalazimisha.

Nianzeje ili na mimi niweze kutongoza na kufanikiwa?
 
Kwakuwa lengo lako ni kuoa kabisa na ndio kinachokusumbua kwa dhati. Na ukiwa nae ndoani so linaisha, usiumize kichwa, we fata mila desturi bora za kwenu, kiafrika. Ukimpenda, anza na hatua za kiafrika zinazoshirikisha jamii, wazazi nk au unaona so kumwagwa ktk hatua hiyo?

Usiogope, kwa dunia na life hili kukataliwa pia ni neema tu. Unatest kwingine.
 
Ni takriban miaka 28 tangia kuzaliwa kwangu, imefika hatua sasa ninahitaji mwenzangu wa kuishi nae,kila nikijaribu kutaka kumtongoza demu nashindwa hata nianzeje,nikijaribu kusalimia hata salam kuitikia naona km ninalazimisha
Nianzeje ili na mm nimweze kutongoza na kufanikiwa??


Aloohhhh pole sana mkuu,
Hakuna kitu ninachoonaga rahisi kama hiki.
 
Inabidi ujue udhaifu wake alafu unatumia mwanya huo una mu attack hapo hapo yaani utakula mzigo kilain kabisaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom