Neno "HAPA KAZI TU" Layeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO ?

Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo

Alafu kuna wajinga watatu Assad. Lema na Lisu wanatokwa povu kutuaminisha kwamba Magufuli alikuwa zero tu.

Hata mabeberu yanayowalea Ulaya yamewakana sasa.

Umoja wa mataifa wasimama kumlilia hayati rais Magufuli.
 
Ndiyo unavyojiaminisha. Bado sana kufuta legacy ya Magufuli unahitaji bomb la scud.Vinginevyo unapoteza muda
 
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO ?

Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
HAPA KAZI TU IENDELEE
 
Alafu kuna wajinga watatu Assad. Lema na Lisu wanatokwa povu kutuaminisha kwamba Magufuli alikuwa zero tu.

Hata mabeberu yanayowalea Ulaya yamewakana sasa.

Umoja wa mataifa wasimama kumlilia hayati rais Magufuli.

Nimeipenda hii bure mwanangu na Mungu azidi kukupa maarifa.
 
Nimecheka kinyama !
Hivi ndivyo CAG alivyowabana MATAGA.
JamiiForums196194520.jpg
 
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO ?

Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
Ona lisu naye kapotea
 
Wamebaki na kamsemo ka kinyonge sana" kazi iendelee" hawasemi hata ni kazi gani.😅😅😅
 
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO ?

Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
Sasa jamaa anawaambia kazi tu kumbe linawaibia. Watu tumekuja kusanuka mchizi yupo kwenye futi sita thereunder. Dah 😃
 
Wanasema kuwa makini na wanaokupigia makofi wakati unaongea maana kuna wengine wanataka umalize haraka ili wao watawanyike wakafanye shughuli zao
 
Hapa tuu si ilikuwa kipindi anaingia madarakani awamu yake ya kwanza , km vile mzee JK alivyoanza na hali mpya nguvu kasi mpya akamaliza na maisha bora kwa kila mtanzania na JPM alikuwa anamaliza na Kazi iendelee ambayo Mama Samia anadumu nayo ss baada hapo nae atakuja na ya kwake nyingine ....nothing last forever
 
Bro unateseka sana

Back
Top Bottom