Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ase Mimi nimeona nijiunge huku sasa wenyeji nikaribisheni .. Mimi mgeni kabisa na kamba mguunii naitwa kipepeee
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu..?Mi ni mgeni naombeni ukaribisho wenu.
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Habarini waungwana, Napenda kuwashukuru walionifungia tangu 2017 na kufunguliwa 2018 February kisha kufungiwa hadi leo kuweza kuandika chochote hapa jukwaani. Kiukweli nilishi km nipo nyikani...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mpo
0 Reactions
2 Replies
615 Views
Habari za jumapili wanaJF.... Mimi ni memba mpya nimejiunga humu rasmi baada ya kuwa guest visitor kwa muda mrefu. Naomba ushirikiano wenu kwa mawazo na ushauri pia. Natanguliza shukrani...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Hi, i need your cooperation guys, i'm a new member.
3 Reactions
65 Replies
6K Views
Habar wanajf me n member mpy mko guda
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Wandugu wanajamvi km mada hapo juu nimekua mdau wa jf kwa mda mrefu Ila bahati ya kusajiliwa ndio naipata leo nafuraha ya kuwa mwana familia wa jf
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za huku jamvini. Ugeni wangu humu unaweza kuwa wa muhimu? [emoji4]
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hey guyz me mgeni ila mwenyeji[emoji1422]
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyo jieleza Mimi no member mpya kabisa hivyo nahitaji mapokezi Kama ilivyo ada kwa wageni Loading........ Kwa ushauri Maoni Tahadhari nk nk Mnikaribishe jamvini Nawasilisha...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni mwenyeji, nimerudi kua mwanachama hai. Naomba kukaribishwa upya na wenyeji humu ndani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nashukuru Mungu leo niko live jamii forum naombeni ushirikiano mwema husasani wenye tija. Nawasilisha hoja
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Mimi mwenyewe sina uhakika na jina langu ila najihisi ni mgeni ambaye ni mwenyeji wa JF Leo najitambulisha kwenu.Asante kwa kupita hapa nifungulie mlango Jonah Hill Yay GIF - JonahHill Yay...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
H
Mgen wenu humu
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Hello
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa msekule, ninaitaji kwenda africa ya kusini kutafta maisha, lakini kule sina ndugu wala rafiki. Kwa yeyote humu kama yupo uko anisaidie kunistili kwa muda hadi pale nitakapo pata kibarua.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nchi yoyote ile duniani hutegeme wafanyabishara kulipa kodi ili kuborsha baazi ya huduma za kijamii Wilaya ya kilombero inachangia pato la taiga kwa mwaka kutokana na vyanzo vyake vyake vya mapato...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wa ndugu Naomba msaada wa namna ya kubadili user name.....
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom