Naomba kufahamu ni nini nachotakiwa kufanya ili kuweza kupost posts nzuri hapa.
Napenda kujiona kama mhamasishaji wa uongozi bora hasa kwenye ngazi za chini, nikimaanisha uongozi wa jumuia ndogo...
1: Hello humans.
My name is Benzie.
Mercedes Benz.
Iam six months old.
Iam a girl.
Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼.
Lengo la kujiunga hapa JF...
Hello everyone my name is Samantha Lewthwaite am thrilled to join JamiiForums today,I was a guest almost 6 years back but I decided to join today after being limited to view thread AKhsante...
Wakuu habari za siku nyingi humu jukwaani, ninaimani wote ni wazima wa afya na awali kabla ya yote napenda sana nitoe pole kwa members wote tuliokuwa nao na leo hii hawapo humu jukwaani ama ni...
Natumaini wote ni wazima na mtanipokea kwa mikono yote.
Pia kama kuna mwenye uzi wenye yale mambo ya muhimu kwa ajili ya wageni basi asisite kutupia link hapa.
Ahsanteni na week-end njema!!
Naomba nijikite moja kwa moja kwenye swala langu, ndugu wana jamvi naombeni mnikaribishe jamvini, nimekua mfatiliaji mkubwa sana wa JF.
ila leo ndo imekua siku yangu ya kwanza kupost, Mungu awape...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.