Nimekuja rasmi

Hellow member
mambo zenu
nimekuja rasmi naomba mnikaribishe

Helloooow ndekia1 our new member

mambo zetu ni safi tu Ya kwako yakoje?

Mkuu wetu kakupokea rasmi nasi kwa niaba ya wanachama wote tunakukaribisha kwa mikono miwili.

Karibu sana katika JF.

Ni matumaini yetu kubwa utakuwa na mengi ya kutu elimisha na kujielimisha toka kwetu.

Mwisho heshimu maneno ya mkuu wetu na yaweke akili siku zote.
 
Karibu...
Be a confident member. Kwa kuitafuta blog hii tunaamini una ujasiri na una kiu ya kuleta mabadiliko katika jamii..
Karibu.
 
we pita ndaani! kaa pale au hapa nami nikungate sikioni' enh! sasa umwonae yule ana midevudevu ni mwenzetu hapa JF sawa enh! Nae yule alokodoa sana macho ni mpiganaji! ee! au unashangaa kijimwili chake! we tulia utaona shughuli yke, na yule alievaa telemka tuzoze ndo mkubwa humu ndani si unajua wazee wa shkamoo jazz! kuna bw. mdogo hayupo ndani sasa lakini umwonapo utajua 2 kuwa ni wa kipya kizazi, siye huwa hatujui kiuno chake ki wapi utasaidia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom