Mfalme hapa. Ingawa nimeshajibujibu kidogo kwenye habari kadhaa, lakini mimi bado ni mgeni hapa ukumbini. Nimeona nisalimie kidogo na kujitambulisha.Tuko pamoja, naomba mnipokee wandugu.
Mfale.
Hi to the entire JF Community! After having been a fervent reader of JF, today I made-up mind to register so that I can access contents privileged to members only and occassionaly share my...
Hello Great Thinkers!
I've just joined JF and would like to become an active member so that I can make my contribution for the welfare of our nation. Bravo JF!
Hodi, hodi: nami nimeingia baada ya kuangalia mapambano baina ya haramu na halali (evil and virtue).
Nimekuja kuongeza nguvu upande ule wa haki -- upande wa halali, upande wenye matumaini na...
Jamani naomba nipate kibali mbele yenu wadau mliotangulia.mimi ni mpya na napenda kuwa mmoja wenu ili kuongeza uwezo wa kutafakari na kufikiri,Ahsanteni.Niko dzm kitunda mwanagati.jina ni hassani ally
1-How did you hear about this forum?
Gnasha whispered it to me......
2-What is your impression about this forum?
Super-so far...
3- How old are you and what is your nationality?
Classified...