Habrini za masiku ndugu zanguni! Naomba ukaribisho wenu wa mikono miwili na miguu miwili.
Kabla ya kukukaribisha............. jibu yafuatayo...........Habrini za masiku ndugu zanguni! Naomba ukaribisho wenu wa mikono miwili na miguu miwili.
......Kabla ya kukukaribisha............. jibu yafuatayo...........
1....Jinsia yako........
2. ......Umri wako........
3. .........Idadi ya watoto ulionao.......
4. ...........upo ndani ya ndoa au..........
5. ..............huna historia ya kufungwa jela........
6. .................usafiri unaolazimika kuutumia.........
7. ....................UMEFUATA NINI JF............
Habrini za masiku ndugu zanguni! Naomba ukaribisho wenu wa mikono miwili na miguu miwili.
Umemsaidia mawili tuu hayo mengine umemuachia mwenyewe...???......
Jamani namsadia kujibu
1....Jinsia yako........Unaijua
2. ......Umri wako........mfukoni
3. .........Idadi ya watoto ulionao.......Zaeni mkajaze nchi, nimewajaza
4. ...........upo ndani ya ndoa au.......... ndo manake
5. ..............huna historia ya kufungwa jela........nchi kuna kufungwa??
6. .................usafiri unaolazimika kuutumia......... wa angani cheap n realible
7. ....................UMEFUATA NINI JF..................wewe
Nimeipenda hii lugha Preta. Ni ya wapi?karibou
......wewe[/QUOTE]......
Jamani namsadia kujibu
1....Jinsia yako........Unaijua
2. ......Umri wako........mfukoni
3. .........Idadi ya watoto ulionao.......Zaeni mkajaze nchi, nimewajaza
4. ...........upo ndani ya ndoa au.......... ndo manake
5. ..............huna historia ya kufungwa jela........nchi kuna kufungwa??
6. .................usafiri unaolazimika kuutumia......... wa angani cheap n realible
7. ....................UMEFUATA NINI JF............
Kazi za kubeba mabox kaka ngumu unakuwa hoi mwaka mzima nipo ka likizo kadogo tu