hiiiii

Leta habari mama,hapa sisi wote wenyeji - ila kanuni yetu share threads tofauti bila wasi wasi.
Ila utamaduni wa kitanzania ni kumkaribisha mgeni,mwayaa Karibu Neema!!jisikie upo nyumbani kwenye mkeka ukisogoa!!!
 
Karibu Ray! Nimependa heading yako 'Hiiii'

Najua unamaanisha isomeke 'haiiii', ila nilivoiona tu kwa mara ya kwanza nikaisoma 'hiiii'

Karibu tena.
 
karibu mamaa!
PJ please do ze nidful kwa neema.mwagie masharti ya jf
 
Mhhhh! Neema? mbona it sounds like ma .........nways!

karibu saana; jisikie uko sebuleni mpaka chumbani!
 
karibu sana,ukitaka uwe maarufu hapa weka avatar kama ya cheusimangala au FL 1,UTAGONGEWA HODI MPAKA UTAFURAHI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom