Wanamichezo, hokey, cricket, baseball, rugby, tennis, kuogelea, mieleka, riadha na mwisho football naomba nijitambulishe kwenu kwa ID yangu hii ya pili. Chelsea Blue ni takuwa naitumia kwenye...
WanaJF, naomba mnipokee mwenzenu tuendeleze nchi yetu wakuu. Nafuatilia sana mijadala mbali mbali bila kuchangia chochote.
Leo hii nimeamua kujiunga rasmi na hii forum ye GREAT THINKERS ili...
Hello guys,
Jina langu ni Baby Angel,huwa natembelea mara kwa mara ktk jamii forum sema nakosa muda wa kujiunga na leo nimeamua kuingia humu na kuwa mwanachama kutokana na kuona uwezo wa wana...
am Rita J's. i always visit this site but yesterday i decide to join. I hope you can ope the door for me to share my ideas with the whole tanzanian community.
Hey people sio mgeni kivile nimekuwa nikifuatila JF muda mrefu toka 2007 ila sikuwa nimejisajili now I proud to be a member but I'm not that new.
Mwelekeo wangu ni mtu ninayependa maendeleo...
Wana Jamii Forum hodii hodiii,nilikua bado sijafahamu kwamba kuna chombo cha ajabu kama hiki ambacho mtu ana uhuru wa kutoa maoni na kubadilishana mawazo!.
Nashukuruni sana wadau kwa kubuni na...