Hey people sio mgeni kivile nimekuwa nikifuatila JF muda mrefu toka 2007 ila sikuwa nimejisajili now I proud to be a member but I'm not that new.
Mwelekeo wangu ni mtu ninayependa maendeleo naamini maendeleo ya nchi yanaletwa na wananchi yaani watu wenyewe.
Naamini serikali ndio kiongozi wa wananchi kwa hiyo serikali mbaya huongoza pabay na serikali nzuri huongoza kwenye unafuu wa mambo.
Naamini kuwa serikali nzuri inaweza kufanya huduma muhimu za jamii kama maji,umeme,matibabu vikapatikana kwa gharama wanayoweza wananchi kumudu.
Naamini serikali iliyopo imeshindwa kufanya yale aliokuwa ndani ya uwezo wake ,kwa kifupi imetumia madaraka yake vibaya kwa kushilikiana na wanaoiba,imeshindwa kutumiza wajibu wao kwa kushughulikia rushwa na..................
So I'M FOR CHANGES