Chelsea Blue in da house!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Wanamichezo, hokey, cricket, baseball, rugby, tennis, kuogelea, mieleka, riadha na mwisho football naomba nijitambulishe kwenu kwa ID yangu hii ya pili. Chelsea Blue ni takuwa naitumia kwenye mambo haya. Ila ile ya ukweli Rev Masa ni kwenye mambo yote kuanzia imani hadi siasa.

Asanteni

Rev Masa aka Chelsea Blue
 
Duuuuuuuuuuuuu haya Rev Masa or Chelsea Blue hata sijui niseme karibu :becky::becky:
 
Jumapili kaa karibu na Tv yako kuanzia saa 1530 tunamfunga Blackpool
 
Back
Top Bottom