Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hodi wana jf, naombeni mnipokee ili nami niweze kuwa mmoja wa great thinkers, ili pia nijifunze kuzungumza kwa uwazi bila kuathiri rules zetu, asanteni wakuu, shukrani zangu natanguliza!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
mwenzenu ni mgeni jamvini,naomba ushirikiano wenu waheshimiwa nami niwe great thinker
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu mmejizatiti vipi kwenye mchakato wa mwisho wa mwezi (31/10/2010)???
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Actually leo ndo naanza kujiunga na mtandao huu wa magreat thinkers so lets stay together great.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naweza pata uraia hapa?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu Jamii mkae mkao wa kula hivi punde nawaletea habari kemkem za kijamii kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la dar hususani maeneo ya mabibo na mikocheni A
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello, members of this home of great thinkers, I kindly ask you to warmly receive me into this site since Iam a new member. There is no doubt that we shall share a lot. My interest is in...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
i love jamii forum, thank u 4 taking me in:music:
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naombeni uraia kwa mara nyengine
0 Reactions
1 Replies
878 Views
Salaamu nyingi ziwafikie naomba kupokelewa.Nimekuwa mgeni wa jamii hii kwa muda kidogo lakini nimefikia uamuzi wa kujiunga na kushiriki mijadala mingi inayoanzishwa hapa na washiriki katika forum...
0 Reactions
2 Replies
928 Views
H gud pipo,i need ushirikiano wenu plz.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mgombea...nimejiunga hapa nikijua tutashirikiana... naomba kura zenu zote za ndio. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hi wadau! am a ew member.
0 Reactions
3 Replies
911 Views
Hodi jamani mimi nimgeni humu bado nina kamba yangu mguuni naomba mnifungue ili tushirikiane kulijenga taifa letu.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya everydy, mi nlijiunga last yr but unfortntly nikapata safari ya kwenda somwhr wher there's no communication. So would u p'se Karibu me.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kukaribishwa jamani
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nipo ndani tuta share ideas in different areas..., i like JF......
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salamu sana wakuu, nawasalimu katika jina Muumba wetu. Nimekuja kushiriki katika kazi hii nje ya kujenga Taifa letu. Niko tayari kuwaongoza sala ya toba viongozi wote mafisadi watakaotubu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zenu jamani, natumaini tutakuwa pamoja, pamoja tunaweza.:lol:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni naomba kuingia hapa jamii forum. Asante kwa ushirikiano nanyi katika ujenzi wa taifa letu.
0 Reactions
3 Replies
928 Views
Back
Top Bottom