wadau wote wa jamii forum nawsabahi, assalam aleykum jamia. Kwa mara ya kwanzaa ndani ya jf, namiksi sana na jk. Tutakutana kundini katika kuendeleza mawazo mshazari na yenye kutandawaa katika...
Habari wana JF?
Ndiyo kwanza najiunga humu ndani baada ya kuwa natembelea tuu na hatimaye kunogewa! Natumai kupata ideas mupya, challenge na mambo mengine mengine mengiii!
Hodi jamani mwenzenu...
HI FRIENDS>
HOPE MAMBO IPO POA BWAAANA.MM NAITWA HERBERTH TOLERATE.
USER NAME YANGU ITAKUWA htolerate.
nafurahi kujoin hii forum coz i hope iko na wakongwe kibao.na sisi serengeti boys tutapata...
Mimi ni mzee wa manyafu ni muumini mkubwa na wa muda mrefu wa Jamii Forums. Here is where we dare to talk openly. Naomba sasa mniruhusu nami niingie ndani ya mjengo ili nipate nafasi ya kuchangia.
Mimi ni mgeni-mwenyeji hapa. Nilijiunga mapema kidogo nikashindwa kubisha hodi kwa sababu ya mtandao hafifu.
Natumaini tutashirikiana kudumisha uhuru wa mawazo nchini mwetu
Ahsanteni
Haloo Wana JF, poleni kwa mahangaiko ya maisha na pilika za utafutaji kwa ujumla.Mimi nimeona nisipitwe nahizi changamoto zinazotolewa kila siku na nisibaki kuwa msikilizaji bali nami niweze...
Mimi ni muumini mkubwa na wa muda mrefu wa Jamii Forums. Nadiriki kusema kwamba kama mtu unataka kufikirisha ubongo wako kisiasa hapa ndiyo mahala pake. Naomba sasa mniruhusu nami niingie ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.