DICTATOR
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 391
- 3
WanaJF, naomba mnipokee mwenzenu tuendeleze nchi yetu wakuu. Nafuatilia sana mijadala mbali mbali bila kuchangia chochote.
Leo hii nimeamua kujiunga rasmi na hii forum ye GREAT THINKERS ili tuweze kupeana mawili matatu na hatimaye tufike siku moja tupongezane kwa kazi nzuri ya kujenga taifa letu changa kitechnolojia, kiuchumi, kimaendeleo, kielimu pamoja na sekta mbali mbali. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wanaJF woooote kwa ujumla. :A S-coffee: