Wazo langu najiunga

Wazo langu najiunga

Wazo Langu

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
1,381
Reaction score
842
Habari waungwana
Naitwa wazo langu
Nimeipenda sana jamii yenu nami nikatamani kuishi miongoni mwenu
Nimesoma ya wengi nami sasa ni wakati wangu nipate nafasi kutoa wazo langu.
Nawapenda kwa sababu "ninawafahamu" nimewasoma na kuwaelewa.
Naomba mnikaribishe
Mgeni wenu,
wazo langu.
 
Karibu sana tulipate wazo lako .
 
Back
Top Bottom