uungwana ni vitendo

Unyanga

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
402
83
jamani naombeni mnikaribishe humu jf, home of great thinkers, na kama walionipa jina nikiwa shule na kuniita critical thinker, nataka nijiangalie je mie ni critical kweli? Mgeni ni sawa na kipofu haoni njia, mie ni mgeni humu naombeni mniongoze mnipe maelekezo jinsi ya kuwa active member na mambo mengi mazuri humu ndani! I wl be happy kama nitapata great support, thanx
 
Karibu sana ila naona ushakuwa mwenyeji post 20 tayari kila la heri karibu sana na sana ukikwama uliza tu
 
ndo hivyo tena bado kuna vitu vingi sana sivijui ndio maana! Mfano hata hivyo kuangalia mtu fulani ana post ngapi na kuna vigezo gani ili kufikia kuwa senior member na kuna baadhi ya majukwaa nikifungua hayafunguki sijajua natakiwa nifikishe vigezo gani ili niweze ku-acces hado hayo majukwaa.
 
asante sana namngoja huyo bwana katavi anipatie hayo maelekezo.
Ahahahaaah! Kwa kuwa umeingia muda mrefu humu utakuwa umepitia sheria na kanuni za hapa kwa umakini, maelekezo mengine subiri kidogo.....
 
nashukuru bwana katavi, nasubiri kidogo kama ulivyoniagiza.
 
ndo hivyo tena bado kuna vitu vingi sana sivijui ndio maana! Mfano hata hivyo kuangalia mtu fulani ana post ngapi na kuna vigezo gani ili kufikia kuwa senior member na kuna baadhi ya majukwaa nikifungua hayafunguki sijajua natakiwa nifikishe vigezo gani ili niweze ku-acces hado hayo majukwaa.
Kuwa senior member au senior expert member ni idadi ya post ndio itakayokufanya ufikie madaraja hayo. Kuwa premium member inabidi uichangie Jamii Forum, soma hapa namna ya kuchangia....https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/22767-changia-jf-mkono-mtupu-haulambwi.html
Kuhusu kutoweza kuaccess baadhi ya majukwaa, hiyo inabidi umuombe Invisible ruhusa ya kuaccess jukwaa la mambo ya kikubwa na jukwaa la dini......nadhani nimejibu maswali yako mkuu..................You are welcome!!
 
nashukuru sana muungwana katavi kwa msaada wako, jinsi ya kumuomba invisible hiyo ruhusa naomba na yenyewe unielekeze.
 
Mtumie PM(private meseji).....angalia katika profile yake na utaona namna ya kutuma hiyo
Pm
 
Back
Top Bottom